LoA Mashuhuda

Sasa ninataka kweli kujua hadithi yake!

Profile picture of a woman

‘Katika Uislamu, hatufundishwi mengi kuhusu Yesu, sasa nataka kujua hadithi yake kwa kutazama urithi wa Adamu. Ninapenda hadithi ya Ibrahimu na Sarai, nataka kujua zaidi.’

Amina, Tanzania

Imeweza kunisaidia kuelewa uumbaji.

Profile picture of a woman

‘Niliipenda sana filamu hii, lakini nilitamani iongezwe na watu kama Mtume Suleimani, Yusuf na Musa. Imenisaidia kuelewa habari za uumbaji kwa urahisi sana hasa kwa watoto wangu.’

Prisca Tumaini, Tanzania

Hadithi ni nzuri, tafadhali tuonyeshe zaidi!

Profile picture of an african lady

‘Ninafurahi kuona jinsi Adamu na Hawa walivyoumbwa. Ninaelewa wanachosema Hawa alitoka upande wa Adamu. Filamu hii ni nzuri, tunaomba uendelee kutuletea zaidi.’

Bahati Msanjila, Tanzania

Imefanywa kwa weledi na ustadi sana!

Profile picture of a woman

‘Filamu ni nzuri. Mwanzoni nilifikiri kuwa inafaa zaidi kwa watoto, lakini baada ya kuitazama, nilijifunza zaidi. Hadithi imeandikwa kwa weledi na ustadi sana.’

Neema, Tanzania