Sasa ninataka kweli kujua hadithi yake!
‘Katika Uislamu, hatufundishwi mengi kuhusu Yesu, sasa nataka sana kujua hadithi yake kwa kutazama urithi wa Adamu. Ninapenda hadithi ya Ibrahimu na Sarai, nataka kujua zaidi.’
Imenisaidia kuelewa uumbaji.
‘Niliipenda sana filamu hii, lakini nilitamani iongezwe na watu kama Mtume Suleimani, Yusuf na Musa. Imenisaidia kuelewa habari za uumbaji kwa urahisi sana hasa kwa watoto wangu.’
Tunatarajia video zaidi!
‘Ninafurahi kuona jinsi Adamu na Hawa walivyoumbwa. Ninaelewa wanachosema Hawa alitoka upande wa Adamu. Filamu hii ni nzuri, tunaomba uendelee kutuletea zaidi.’
Bahati Msanjila, Tanzania
Imefanywa kwa weledi na ustadi sana!
‘Filamu ni nzuri. Mwanzoni nilifikiri kuwa inafaa zaidi kwa watoto, lakini baada ya kuitazama, nilijifunza zaidi. Hadithi imeandikwa kwa weledi na ustadi sana.’